Comment to the book review by Amani Lusekelo / Kommentar zur Rezension von Amani Lusekelo / Commentaire à l récension d'Amani Lusekelo 2009
DOI:
https://doi.org/10.18716/ojs/aaeo/2011_3551Schlagwörter:
Swahili, Tanzania, sociolinguiticsAbstract
Mpendwa Amani, Nashukuru sana kwa maoni yako juu ya kitabu changu. Nakubaliana sana na wewe juu ya dhamira ya ubepari ndani ya muktadha wa mashindano ya urembo. Lakini sikutafiti mashindano yanayotokea bara -- utafiti huo ni wa Sabrina Billings (sitaki kuonekana kama nilifanya utafiti huo - nimesoma tasnifu yake ambayo ni nzuri sana). Billings amechapisha utafiti wake hivi karibuni katika Language in Society (2009).Downloads
Veröffentlicht
2011-03-29
Ausgabe
Rubrik
Comments
Zitationsvorschlag
Higgins, C. (2011). Comment to the book review by Amani Lusekelo / Kommentar zur Rezension von Amani Lusekelo / Commentaire à l récension d’Amani Lusekelo 2009. AAeO - Afrikanistik-Aegyptologie-Online. https://doi.org/10.18716/ojs/aaeo/2011_3551